mandevuclassic
Member
- Nov 23, 2013
- 79
- 119
Dah bro....kwani hiyo midude lazima muweke? Ina maana we huwez kujicontrol kutopiga mimba mpaka muweke mavitanzi?Naomba msaada mwenzi Wangu anatoa HARUFU mbaya UKENI mara ya Kwanza.. alikua anatoa kwa sababu ya kutumia sindano za uzazi wa mpango..alipoacha HARUFU iliisha kabisa.. sasa kaweka kitanzi.. tatizo limerudi..atumie dawa gani ili aache kutoa harufu..!
Dah bro....kwani hiyo midude lazima muweke? Ina maana we huwez kujicontrol kutopiga mimba mpaka muweke mavitanzi?
Cku zenyewe ni saba tu za kutopiga kitu au ndo wale waliogeuza ngono kama ugaliDah bro....kwani hiyo midude lazima muweke? Ina maana we huwez kujicontrol kutopiga mimba mpaka muweke mavitanzi?
Huwa mnafanya tendo chumbani kwenu ni chumba cha self au sio self. iyo harufu unaisikia baada ya tendo au hata kama mmekaa tu unaisikia, kuna dada yangu flan tulikuwa tukikaa hata nje tu ukiwa karibu yake unaisikia lakini bibi alimpa dawa ikaisha kabisa. jibu kwanza hayo maswali
Ni km huyo dada yako
Yeye alikuwa anatokwa na maji mazito meupe sehem za siri sikuwa hi kushuhudia ila nilidadisi kumuuliza bibi nijue tu huwa inakuwaje kuna majan flan aliponda akampa apake na aweke badae ikakata sasa, hayo majani mpaka niyapige picha nikupe ila jaribu kwanza kuwaulizia wakongwe wanaweza wakakawa wanayafahamu kama mkonao majirani hapo au bibi zenu kijijini, mimi kupiga picha mpaka nitoke niende barabarani
Cku zenyewe ni saba tu za kutopiga kitu au ndo wale waliogeuza ngono kama ugali
mkuu kayapige picha saiv tafadhali,tuyajue..umsaidie shemeji,hadi kaja hapa ujue hali ni mbaya huko.Yeye alikuwa anatokwa na maji mazito meupe sehem za siri sikuwa hi kushuhudia ila nilidadisi kumuuliza bibi nijue tu huwa inakuwaje kuna majan flan aliponda akampa apake na aweke badae ikakata sasa, hayo majani mpaka niyapige picha nikupe ila jaribu kwanza kuwaulizia wakongwe wanaweza wakakawa wanayafahamu kama mkonao majirani hapo au bibi zenu kijijini, mimi kupiga picha mpaka nitoke niende barabarani
Sasa iko hivi by experience ni kwamba kabla ya yote ningekuelekeza atumie tu hayo majani maana inakausha na kukata harufu ila sijui humu kuna watoto chini ya 18, ok unaweza ukampeleka akapime hayo ute wowote au unyevu wowote uliomo ukeni ili kujua kama kuna infection ya bacteria kuanzia kwenye uzazi hadi kwenye mirija na hapo mlangoni kuna dawa ningekuandikia na kukushauri utumie hayo majani ila hilo kwanza la kupima to be more precise kama watakuwemo tujue ni aina gani the naweza nikakuandikia dawa sahihi.Mwenza wangu hatokwi na ute wowote..ni harufu tu ndo inayotoka
Mkuu hebu tutafutie picha ya hayo majani au na jina lake ikibidi.Sasa iko hivi by experience ni kwamba kabla ya yote ningekuelekeza atumie tu hayo majani maana inakausha na kukata harufu ila sijui humu kuna watoto chini ya 18, ok unaweza ukampeleka akapime hayo ute wowote au unyevu wowote uliomo ukeni ili kujua kama kuna infection ya bacteria kuanzia kwenye uzazi hadi kwenye mirija na hapo mlangoni kuna dawa ningekuandikia na kukushauri utumie hayo majani ila hilo kwanza la kupima to be more precise kama watakuwemo tujue ni aina gani the naweza nikakuandikia dawa sahihi.
nenda kwanza wachukue sampuli ya ute, unyevunyevu wapima tubaini aina ya bacteria ntakuelekeza dawa nzuri tu kama watakuwepo kama hamna ntakwambia kitu kingine. kuna tatizo hata la mtu binafsi mfano la kutoa harufu mbaya mdomoni unakuta harufi linaanzia tumboni sasa wanapotibu wanatibu kuanzia tumboni hadi mdomoni na kwenye mfumo wa mate ndio maana wengi hupona badala ya kushugulika na kinywa tuMkuu hebu tutafutie picha ya hayo majani au na jina lake ikibidi.
Sawa mkuunenda kwanza wachukue sampuli ya ute, unyevunyevu wapima tubaini aina ya bacteria ntakuelekeza dawa nzuri tu kama watakuwepo kama hamna ntakwambia kitu kingine. kuna tatizo hata la mtu binafsi mfano la kutoa harufu mbaya mdomoni unakuta harufi linaanzia tumboni sasa wanapotibu wanatibu kuanzia tumboni hadi mdomoni na kwenye mfumo wa mate ndio maana wengi hupona badala ya kushugulika na kinywa tu
nenda kwanza wachukue sampuli ya ute, unyevunyevu wapima tubaini aina ya bacteria ntakuelekeza dawa nzuri tu kama watakuwepo kama hamna ntakwambia kitu kingine. kuna tatizo hata la mtu binafsi mfano la kutoa harufu mbaya mdomoni unakuta harufi linaanzia tumboni sasa wanapotibu wanatibu kuanzia tumboni hadi mdomoni na kwenye mfumo wa mate ndio maana wengi hupona badala ya kushugulika na kinywa tu
Ahsante kwa kunisaidia kuuliza,,binadamu wamekosa utashi siku hizi kama wanyama[emoji23] [emoji23]Dah bro....kwani hiyo midude lazima muweke? Ina maana we huwez kujicontrol kutopiga mimba mpaka muweke mavitanzi?
kwanini anajitoa akiliKwa hii post, kidogo nimeanza kumwelewa Madame B Kumbe kuna wakati unajitoa akili.
Mie nimeingiaje hapa?Kwa hii post, kidogo nimeanza kumwelewa Madame B Kumbe kuna wakati unajitoa akili.
Wewe longolongo tu,haujui dawa yeyote,tumeanza tangu asubuhi tunakubembeleza uweke picha ya hayo majani,ndio kwanza ushakuwa dokta,maelezo lukuki,wabongo bwana,ushajiona mtu muhiiiimu kwenye tatizo ambalo hauna hata msaada,longolongo zimekujaa...nenda kwanza wachukue sampuli ya ute, unyevunyevu wapima tubaini aina ya bacteria ntakuelekeza dawa nzuri tu kama watakuwepo kama hamna ntakwambia kitu kingine. kuna tatizo hata la mtu binafsi mfano la kutoa harufu mbaya mdomoni unakuta harufi linaanzia tumboni sasa wanapotibu wanatibu kuanzia tumboni hadi mdomoni na kwenye mfumo wa mate ndio maana wengi hupona badala ya kushugulika na kinywa tu