Njia zipi nzuri za kupima vya figo na ini?

MR LINKO

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2016
Posts
3,034
Reaction score
3,526
Nimekaa kwa muda mrefu sana nikawaza ni njia zipi huwa zinatumika kupima ini na figo za uhakikaa maana nataka nikacheck afya yangu kwakweli maana naona dalili za ajabu ajabu.
 
Ngoja wataalamu waje hata nataka kujifunza hapa.
 
Kapime Creatine ,Urea...ni vpimo vya damu tu vinaangalia utendaji wa kazi ya figo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…