Njia zipi zinatumika kutest ubora wa Condoms

rough riders wanazipenda sababu ya vile vipele vyake,, wanasema zinawakuna wadada wakati hata sio kweli
Kondomu nzuriii ambayo Mimi nimemtumia zootee..

Tumezitumia Mimi na wife condom zootee UVUMBUZI WANGU BULL CONDOMS ZIPO VIZURI

BINAFSI MIMI CONDOMS ZILINISHINDA MAANA HUWA SIMALIZI KABISA MPAKA UNAIVUA

ILA KWA BULL ILINIFAA AANA SANAA BULL CONDOM NAI RECOMMEND KWA WADAU
 
haumalizi nini sameja?😎😎

mi naipenda kiss,, ila nitajaribu bull sema sijajua bull ipi iliyo nzuri ile red au black?
 
Kwahiyo hata nafasi ya mwisho Zana haikai?? Unamaanisha Serikali inatupoteza?πŸ˜„πŸ˜„
 
haumalizi nini sameja?😎😎

mi naipenda kiss,, ila nitajaribu bull sema sijajua bull ipi iliyo nzuri ile red au black?
Bila ya kuharibu biashara za watu…Iyo brand ya kiss ndo imenitokea mara tatu ndo nimepata msukumo wa kuja kuandika hili chapisho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…