Wakati tukiendelea kujiuliza kwanini hakijasajiliwa chama chochote cha siasa kipya tangu iliposajiliwa ACT Wazalendo licha ya vikundi kadhaa kuomba usajili, tujielekeze kwenye mada.
Akihojiwa na Television ya ITV kipindi Cha Dakika 45, Mh TUNDU Lissu amedai, chama Cha MAPINDUZI CCM, hakijawahi kusajiliwa popote ulipoanzishwa mfumo wa vyama vingi mnamo July 1992.
Kwa maana ingine, hati ya usajili wa chama hiki haipo kwenye ofisi ya msajili, na kama IPO ni fake.
Msajili wa vyama Mh. Mutungi yuko makini sana hawezi kuruhusu chama kikaendesha SIASA pasipo kusajiliwa. Najua atajitokeza na hati ya usajili ya CCM ili amuumbue Tundu.
Msajili wa vyama Mh. Mutungi yuko makini sana hawezi kuruhusu chama kikaendesha SIASA pasipo kusajiliwa. Najua atajitokeza na hati ya usajili ya CCM ili amuumbue Tundu.