Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
Salute Comrades..
Wakuu
Najua nyote mnapenda jf sana na hamtamani kukosa hata siku moja hapa Jf..
Lakini hakuna kinachouma kama kupigwa ban humu jf, Hua inatesa kama Alosto..
Hivyo baasi
Kutokana na Ufukunyuzi na utafutaji wa kufumbua hili tatizo HATIMAE nimepata njia mbili ambazo zitakuwezesha kutumia jf ukiwa BANNED.
Twende mdogo mdogo njia zenye ni kama hizi zifuatazo..
1. Kuwa na Browser zaidi ya moja kwenye simu; Mean that Unatakiwa uwe na Browser zaid ya moja kwenye simu yako mm binafsi simu yangu ina browser hizi Chrome, Operamini, Mozila firefox, UC browser & Phonex Launcher. Hivyo kama ukipigwa Ban kwenye Opera mini nenda Kafungue UC browser then kama una ID mbili moja iko BAN log in kwa nyingine then endelea kula maisha jf ila kama una ID moja uta Visit as a GUEST.
NOTE: Hiyo njia namba moja nadhani wengi wanaifaham na kuitumia, mm nimeifahamu March 2017. Ila namba mbili nimeigundua wiki moja ilio pita.. Tuendelee na somo.
2:To Clear Cookies data: Hii njia ndio very easy kuifanya, Kama unatumia Web browser eg Opera bofya kitufe cha MENU then nenda SETTING ukifika setting utakuta sehem ambayo wamekuandika CLEAR COOKIES DATA then then yabonyeze hayo maneno then watakuletea maneno mengine ya kukuuliza kua "DO YOU WANT TO CLEAR COOKIES DATA? then bofya OK utakua umemaliza na ukisachi Jf utaipata na utaendelea ku Visit as a Guest au kulog in kwa id nyingine..
Cookies Data ni sehem inayohifadhi yaleyote uliyo browser internet. NOTE: Sio browsing history.
Aksanteni.!

Da'Vinci Learning