Njia zitakazo kuwezesha kutumia Jf ukiwa umepigwa BAN

Da'Vinci

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
35,812
Reaction score
107,628
Salute Comrades..
Wakuu
Najua nyote mnapenda jf sana na hamtamani kukosa hata siku moja hapa Jf..
Lakini hakuna kinachouma kama kupigwa ban humu jf, Hua inatesa kama Alosto..
Hivyo baasi
Kutokana na Ufukunyuzi na utafutaji wa kufumbua hili tatizo HATIMAE nimepata njia mbili ambazo zitakuwezesha kutumia jf ukiwa BANNED.

Twende mdogo mdogo njia zenye ni kama hizi zifuatazo..

1. Kuwa na Browser zaidi ya moja kwenye simu; Mean that Unatakiwa uwe na Browser zaid ya moja kwenye simu yako mm binafsi simu yangu ina browser hizi Chrome, Operamini, Mozila firefox, UC browser & Phonex Launcher. Hivyo kama ukipigwa Ban kwenye Opera mini nenda Kafungue UC browser then kama una ID mbili moja iko BAN log in kwa nyingine then endelea kula maisha jf ila kama una ID moja uta Visit as a GUEST.

NOTE: Hiyo njia namba moja nadhani wengi wanaifaham na kuitumia, mm nimeifahamu March 2017. Ila namba mbili nimeigundua wiki moja ilio pita.. Tuendelee na somo.

2:To Clear Cookies data: Hii njia ndio very easy kuifanya, Kama unatumia Web browser eg Opera bofya kitufe cha MENU then nenda SETTING ukifika setting utakuta sehem ambayo wamekuandika CLEAR COOKIES DATA then then yabonyeze hayo maneno then watakuletea maneno mengine ya kukuuliza kua "DO YOU WANT TO CLEAR COOKIES DATA? then bofya OK utakua umemaliza na ukisachi Jf utaipata na utaendelea ku Visit as a Guest au kulog in kwa id nyingine..
Cookies Data ni sehem inayohifadhi yaleyote uliyo browser internet. NOTE: Sio browsing history.
Aksanteni.!


Da'Vinci Learning​
 
NOTE. Mara ya mwisho niliitumia JF App Aprill 20 2017.
 
Hawa moderators nakumbuka miaka hiyo nikiwa chuo waliunganisha account yangu na ya mtu mwingine aliyetumia laptop yangu.
 
Asante kwa taarifa. The only way oligopolist succeed in business is to cheat in the cartels...
i.e njia pekea wafanyabiashara wanayoitumia kufanikiwa ni kuwahadaa waliokula nao njama.
 
mh nini hichi umeandika mbona hamna tofauti kati ya njia zote mbili ulizoandika?. Mimi naona njia nzuri ya kutumia jf ukiwa umepigwa ban ni kuacha kuandika uchuro ambao utakusababisha kupigwa ban.
 
Threads zake zote zikaja kwangu. Nikawasiliana na moderators ila sikupata jibu lolote la maana.

Ni upuuzi sana huu. Yeyote ambaye laptop yake anawapa watu wengine asishangae siku akikuta account yake imeunganishwa na mambo ya ajabu.
 
Mwalimu wako alipata kazi sana kukuelekeza matu mizi ya WHOSE &WHO, Speed & Acceleration..!
mh nini hichi umeandika mbona hamna tofauti kati ya njia zote mbili ulizoandika?. Mimi naona njia nzuri ya kutumia jf ukiwa umepigwa ban ni kuacha kuandika uchuro ambao utakusababisha kupigwa ban.
 
Itakua alitumia Email yako kulog in jf hafu akawa anatania watu mod wakadhani ni ww
Threads zake zote zikaja kwangu. Nikawasiliana na moderators ila sikupata jibu lolote la maana.

Ni upuuzi sana huu. Yeyote ambaye laptop yake anawapa watu wengine asishangae siku akikuta account yake imeunganishwa na mambo ya ajabu.
 
Itakua alitumia Email yako kulog in jf hafu akawa anatania watu mod wakadhani ni ww

Hapana mkuu. Mimi ndiye mhusika naelewa ninachokiandika. Watakuwa wanaangalia MAC address.

I mean wakiona ni same device, wanaziunganisha. Naelewa haya mambo kidogo.
 
Yes. Ni hatari sana hii. Hawa moderators hawajui kama hizi devices tunafanya sharing. Ni hatari sana.
Yes nilikua namaanisha IP address coz ukipigwa life ban hua wanapiga IP addres
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…