Njiani kuelekea Zanzibar

Njiani kuelekea Zanzibar

Kim Jo Ngil

Member
Joined
Jan 3, 2014
Posts
45
Reaction score
17
Ivi ni sahihi kusema niko njiani naelekea zanzibar? Am on my way to zanzibar au uko kwenye boti ukielekea zanzibar au kwenye ndege ukielekea zanzibar?

Msaada kidogo
 
Yote ni sawa tu, kwani wewe ukiambiwa njia unaelewa nini? Kuna njia ya uzazi, kuna njia za usafiri, kuna njia za kutatua matatizo nk.

Labda hapo kwenye ndege ndo hautaweza kumwambia mtu ikiwa utataka kuwasiliana kwa simu kwani utakuwa umeizima. Kwa hiyo hapo wala usiumize kichwa. Tehe teh heeee.

Kwa hiyo hivi vitu vinakuumiza kichwa sana sio, je unafanya kazi gani za kukuingizia kipato.
 
Back
Top Bottom