Yote ni sawa tu, kwani wewe ukiambiwa njia unaelewa nini? Kuna njia ya uzazi, kuna njia za usafiri, kuna njia za kutatua matatizo nk.
Labda hapo kwenye ndege ndo hautaweza kumwambia mtu ikiwa utataka kuwasiliana kwa simu kwani utakuwa umeizima. Kwa hiyo hapo wala usiumize kichwa. Tehe teh heeee.
Kwa hiyo hivi vitu vinakuumiza kichwa sana sio, je unafanya kazi gani za kukuingizia kipato.