Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Katikati ya Ureno, kuna muundo wa miamba ambao unakinzana na matarajio yote ya kisayansi..
Upinde wake wa kustaajabisha na usio na dosari unazua swali—ni nini hasa kinaendelea hapa? Je, hii ilichongwa na nguvu tatanishi ya asili, au kuna kitu kibaya zaidi kinachoendelea hapa?
Taswira ya muundo huu inafanana na lango kuu linalovutia, ... Inadokeza siri zilizo nje ya uwezo wetu kwa wale walio na ujasiri wa kutosha kudadisi maajabu ya hii dunia...Chimbuko lake likiwa limegubikwa na fumbo, utatanifu huu wenye ulinganifu wa ajabu unawasha udadisi na udadavuzi wa uvumi na kufikirika huku utulazimisha kutafakari kwa kina na kujiuliza
Je, hii ni masalio ya kale au ni lango la falme ambazo hatuwezi hata kuzifahamu?🥺🤔🙇🏿♂