Njiti za kiberiti kutoka Tanzania, TBS wapo kweli?

RoadLofa

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2017
Posts
1,509
Reaction score
3,313
Hizi ni njiti za kiberiti Tanzania na TBS wapo!

Hii ndio bidhaa ya Tanzania, sitotaja brand ila hizo ni njiti zinazozalishwa Tanzania. Hata kabla ya kuiwasha imeshajikunja, hata kwenye kuiwasha lazima ukaze mkono isijipinde na kuwaka ni kimbembe!

Tanzania kushindana na mataifa mengine kwenye uzalishaji wa bidhaa Bora tutasubiri sana, hata Kenya hatutowafikia, na wanaotufelisha ni viongozi!

Ifike kipindi tufanye reformation ya taasisi zetu na viongozi wajitafakari.
 
Unaweza kukuta huyo kajikunja mwenyewe mpaka kutengeneza hiyo ambayo bado unataka kuifananisha na za hao wengine wanaopata support kutoka taasisi za kifedha za mataifa yao ambayo wana mifumo inayoeleweka ya wajasiriamali.

Haujakosea ila zingatia na hayo kabla ya kulaumu.
 
Ni kampuni gani mkuu
 
lab
Vinasumbua next time ntapost na kasha lake muijue brand
labda ni kampuni mpya na ni toleo la kwanza πŸ’

Bilashaka watakua wamepata feedback kutoka kwa wateja wao ikiwa ni pamoja na wew.
Let's wait and see, tuwape mda kidogo as long as kinawasha moto japo kilegevu kama vile hakina pumz πŸ’
 
lab

labda ni kampuni mpya na ni toleo la kwanza πŸ’

Bilashaka watakua wamepata feedback kutoka kwa wateja wao ikiwa ni pamoja na wew.
Let's wait and see, tuwape mda kidogo as long as kinawasha moto japo kilegevu kama vile hakina pumz πŸ’
πŸ˜€πŸ˜€Kilegevu na chembamba balaa sijui shida nini? Au ni kutoka ghetto industry
 
Hatimaye kasha lake nimelipata ilo hapo
Ungeweka na kasha lake

Kasha lake ilo nimelipata yaani wanazingua balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…