M mwalwisi Member Joined Oct 6, 2010 Posts 45 Reaction score 22 Oct 5, 2011 #1 Jamani kuna rafiki yangu kanitumia email anatafuta njiwa hao kwenye picha, yeyote aliye na taarifa chonde twaomba msaada tuelekeze wanakopatikana Attachments IMG_0152.JPG 533.2 KB · Views: 72 IMG_0153.JPG 462.7 KB · Views: 72 IMG_0146.JPG 454.2 KB · Views: 55
Jamani kuna rafiki yangu kanitumia email anatafuta njiwa hao kwenye picha, yeyote aliye na taarifa chonde twaomba msaada tuelekeze wanakopatikana
Kituko JF-Expert Member Joined Jan 12, 2009 Posts 9,555 Reaction score 9,357 Oct 5, 2011 #2 ni wa dawa, chakula ama urembo (Kufuga tu)? nenda masokoni, BUguruni, Ilala, Magomeni, Tandika utapata tu
ni wa dawa, chakula ama urembo (Kufuga tu)? nenda masokoni, BUguruni, Ilala, Magomeni, Tandika utapata tu