Tetesi: Njombe Airport kuanza kujengwa

Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa mita 3.5 .
Picha ya Stand ndio airport? Hapo Chauginge ni Mjini au?

Mwisho hakuna Cha ajabu hapo ,Njombe inastahili na uwanja wao utakuwa busy kuliko wa Mbeya Kwa sababu Njombe Ina watu wenye pesa wengi.
 
Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa mita 3.5 .
Mkuu, upo serious kweli na hii taarifa πŸ€”?
 
Kama lengo ni kusafirisha fresh products, hasa matunda, itakuwa ni wazo sahihi.

Na kwa vile report ya BoT inasema ndiyo mkoa unaoongoza kwa idadi ya mabilionea, wajenge tu. Ila nina mashaka makubwa na eneo. Maeneo ya kule kuna milima mingi, lazima ujenzi wa uwanja mkubwa wa ndege utakuwa aghali sana.
 
Ripoti ya lini hiyo?
Weka hapa tuisome!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…