Sorry ni KM 3.5Serikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa mita 3.5 .
View attachment 2865351
Pale pale panatoshaInternational Airport? Pale Njombe pale? Au wamepata eneo lingine?
Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
GoodSerikali ipo njiani Kuanza ujenzi wa Njombe International Airport katika eneo la Chauginge . Njia ya kurukia ndege inasemekana itakua na urefu wa KM 3.5 .
View attachment 2865351
Njombe ni Mkoa wa Matajiri sio maskini kama huko kwenukuna watu wa njombe serikalini, hawajali nchi wanajali njombe;
huwa tunasema wachaga kuhusu moshi, watu wa njombe ni hatari kuliko wachaga kwenye kuvutia mambo kwaok
Safivipi Mwanza Airport?
Sawa mkuu.Njombe ni Mkoa wa Matajiri sio maskini kama huko kwenu
Akili gani ulizonazo wewe? ππππSawa mkuu.
Kwani kuna shida, wenye akili tunajua nini kitatokea hata hatuna haraka.
Muwe mnasoma vizuri ameandika KMMita 3.5 ? Mbona Sawa na urefu wa Costa Tu! Labda km 3.5