Aliyekuwa Katibu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tawi la Ramadhani Victor Kawogo amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM) Machi 05, 2025 katika Mkutano wa Usomaji wa Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya CCM kata ya Ramadhani kwa kipindi cha miaka mitano 2020 hadi 2025.