Njombe International Airport (NIA), ready?

Njombe kuwe na International Airport? Ya nini?

Kwa nini kusiwe na kiwanja cha kawaida tu??

Hiyo Dodoma yenyewe International Aiport tume force tu maana pale unaweka International Aiport ili iweje?

Kimsingi tulitakiwa tuwe na International Aiport 3 tu. Dar es Salaam tena kutokana na muingiliano wa Biashara, Kilimanjaro kutokana na Utalii na Zanzibar pia Utalii??

Wageni wa Kimataifa waende Dodoma au Njombe kufanya nini? Kula maparachichi na zabibu?
 
Dodoma ni makao makuu, kunatakiwa kuwe na airport kubwa kuliko zote... Njombe kuwa jiji soon
 
Dodoma ni makao makuu, kunatakiwa kuwe na airport kubwa kuliko zote... Njombe kuwa jiji soon
Nani kakwambia Makao Makuu ndo inatakiwa kuwa na Airport kubwa kuliko zote?

Kwa akili zenu hizo ndo mana mlienda kujenga Tawi kubwa la CRDB Chato wakati hakuna biashara za uhakika
 
Nani kakwambia Makao Makuu ndo inatakiwa kuwa na Airport kubwa kuliko zote?

Kwa akili zenu hizo ndo mana mlienda kujenga Tawi kubwa la CRDB Chato wakati hakuna biashara za uhakika
Jitahidi kuona mbali huta jikwaa
 
Dodoma ni makao makuu, kunatakiwa kuwe na airport kubwa kuliko zote... Njombe kuwa jiji soon
Dodoma inajengwa msalato tayari, njombe ina mapato makubwa kuliko Dodoma, na wafanyabiashara wanaoingia njombe ni wengi mno
 
Nafikiri ni kwa sababu ya cargo
 
Kazi kwl kwl...Njombe kuwa na international Airport labdah mtoe rais
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…