nadha wanasiasa wanatafuta umaarufu kwani ukiangalia kuna mchakato wa kuundwa kwa mikoa mingi kama vile mkoa wa Geita utakao hususisha wilaya ya geiata upande wa Busanda,Chato na Kahama.Pia kuna mkoa wa Mpanda ambao utahusisha mpanda,baadhi ya sehemu ya Tabora na Kigoma,Mkoa wa Njombe kama mnavyosema, mkoa wa Dar kugawanywa mara mbili.Sidhani kama tutakua tunajenga zaidi ya kubomoa.