Pre GE2025 Njombe: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Pre GE2025 Njombe: Matukio Yanayojiri Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Njombe.jpg

Mkoa wa Njombe ni mmojawapo kati ya mikoa mipya nchini Tanzania wenye postikodi namba 59000, ukiwa ulianzishwa rasmi mwaka 2012. Unapakana na mikoa ya Morogoro, Ruvuma, Mbeya, na Iringa.

Kutokana na hadhi mpya, Wilaya ya Njombe iligawanyika kati ya Njombe Mjini na Njombe Vijijini. Pia, mwezi Machi 2012, Wilaya ya Wanging'ombe ilianzishwa rasmi.

Matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 yanaonesha kuwa idadi ya watu katika Mkoa wa Njombe ni 889,946; wanaume wakiwa 420,533 na wanawake 469,413.

Mkoa wa Njombe una majimbo sita (6) ya uchaguzi, ambapo Jimbo la Wanging'ombe linaongoza kwa kuwa na watu wengi (191,506), likifuatiwa na Jimbo la Njombe Mjini (182,127). Jimbo lenye idadi ndogo ya watu ni Ludewa lenye watu 109,160.

Soma Pia:
Orodha ya Majimbo pamoja na mchanganuo wa idadi:

Jimbo la Wanging'ombe

  • Watu: 191,506 (Wanaume: 89,655, Wanawake: 101,851)
Jimbo la Njombe Mjini
  • Watu: 182,127 (Wanaume: 86,333, Wanawake: 95,794)
Jimbo la Makambako
  • Watu: 146,481 (Wanaume: 67,876, Wanawake: 78,605)
Jimbo la Ludewa
  • Watu: 151,361 (Wanaume: 72,445, Wanawake: 78,916)
Jimbo la Makete
  • Watu: 109,160 (Wanaume: 52,180, Wanawake: 56,980)
Jimbo la Lupembe
  • Watu: 109,311 (Wanaume: 52,044, Wanawake: 57,267)
Hali ya Kisiasa

Mkoa wa Njombe ni miongoni mwa mikoa ambayo majimbo, Kata, Mitaa, Vijiji na Vitongoji vimemekuwa vikishikiliwa zaidi na Chama cha Mapinduzi ( CCM ) hata ukilinganisha katika uchaguzi wa mwaka 2015 katika majimbo sita yanilibebwa na wabunge wa CCM. Njombe Kaskazini: Ndugu Joram Hongoli (CCM) Njombe Kusini: Edward Mwalongo (CCM), Makambako: Ndugu Deo Kasenytenbda Sanga (CCM),Wanging'ombe: Nduguy Gerson Hosea Lwenge (CCM),Makete: Norman Adamson Sigalla (CCM)

JANUARI

FEBRUARI
MACHI
 
Back
Top Bottom