Njombe: Mfungwa apora Bunduki kwa Askari na kumpiga kaka yake kwa kushindwa kumtoa Gerezani na kuuza mashamba ya familia

Juzi askar wa Iringa walichachamaa kutafuta wafungwa, inasemekana walikua kazini wakampiga askr magerz na mapanga halafu wakatoroka na bunduki.
Sasa story ya hapo juu inachanganya sijui inazungumzia tukio la Njombe au hili la Iringa.
Ndiyo tukio hilo hilo mkuu. Wengine walikimbilia Iringa na ndiyo maana walifatwa huko.
 
Juzi askar wa Iringa walichachamaa kutafuta wafungwa, inasemekana walikua kazini wakampiga askr magerz na mapanga halafu wakatoroka na bunduki.
Sasa story ya hapo juu inachanganya sijui inazungumzia tukio la Njombe au hili la Iringa.
Kwa nini wahehe mnafuga majambazi sana?
 
Miss Zomboko

Umekuja kupost haraka bila kutofautisha km njombe IPO Iringa au ?

Pia tukio lilikuwa Iringa sio njombe!


Na uwasilishaji taarifa umekiuka maadili unawafanya polisi waonekane hamnazo.


Sikuingine utulie ndio upost.
 
Askari wa sikuizi sijui depo huwa wanaenda kufanyaje tu si bora mafunzo wafanyie nyumbani tu
 
Kaka na mdogo wake wanatofautiana umri kwa miaka 37!!
Kuna wale wazazi wanaozaa watoto wa uzeeni, anakuwa na watoto wakubwa anaenda kuchukua dogodogo na kuanza kufyatua vijukuu, wapo wengi tu hasa maeneo ya vijijini. Sasa automatically huo utakuwa mzigo wa watoto wakubwa maana mara nyingi wazee wa dizani hiyo huwa hawana mwelekeo wowote.
 
Mkuu hui habari inaonekana mbili tofaut lkn inamhusu marehemu mtuhumiwa afande kashindw kuelezea vizur hata mm nimeshindwa kumwelewa afande 😀
 
Ndiyo tukio hilo hilo mkuu. Wengine walikimbilia Iringa na ndiyo maana walifatwa huko.
Kwa hiyo silaha ilipokonywa Njombe jamaa katembea nayo mpaka Iringa kuja kukomboa wafungwa wenzake??
 
Askar magerez kupokonyw silahi ni kawaida kutokana na mazingr ya wanayo yawek na wafungwa.
Utakut wanapiga story na kuwa jiran bila kujua siku hiyo wafungwa wameamkaje.
 
Umeona eeeh.
Bado hawajajua aliporaje, si wamuulize aliye porwa.
Siku hiyo hiyo apore silaha
Kawaruhusu wenzake watoroke
Amuadhibu Kaka yake
Halafu dogo Yuko 24 only.
Hiz ndio zile picha mtu mmoja anapiga watu200 bila bunduki[emoji38][emoji38]
 
Mkuu hii habari yako ni hii hii au ni mpya maana habari haina chochote kinachohusu hii yakwako
 
” Ukimnyang’a askari silaha namna pekee ya kuipa hiyo silaha ni kwa kutumia silaha hivyo wanapaswa kuwa makini,” Kamanda Issah

Amemaanisha nini hapo huyo kamanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…