Njombe: Mwenyekiti wa Kijiji kupitia CCM akimbia ofisi baada ya kupokea vitisho

Mambo ya hatari sana haya na kutafutiwa uvumbuzi maana yanaweza enea yakaleta shida kubwa sana!
 
Mtaani kwetu baadhi ya watu walimfata m/ kiti mteule nyumbani kwake usiku na kumuambia ajiuzuru mwenyewe.

Mtaani kwetu ilipita chadema, wao wanamtangaza ccm wao fundi cherehani, Lol.
 
Makubwa hayo
 
Chadema walipinga ujenzi wa sgr, ununuzi wa ndege na ujenzi wa bwawa la umeme
Pia walipinga wizi wa kura 2020. Asante mungu haijaisha miezi dude likadondoka. Walipinga pia ujenzi wa uwanja wa ndege wa chato ambapo kwa sasa ni malisho ya mifugo.
 
Mitano tena kwa Mama kwa Uchaguzi huru na haki wa Serikali za Mitaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…