Wakuu huko mkoani Njombe mambo yameendelea kutokota kwenye Uchaguzi wa serikali za mitaa.
Nimekutana na hii clip imenipa sonona sana ambapo Katibu wa ACT Wazalendo mkoa wa Njombe, Stanley Mbembati, amesema kuwa wagombea wote wa ACT Wazalendo wilayani Ludewa wameenguliwa kwenye kinyang'anyiro
Stanley amesema kuwa sababu zilizotajwa ni pamoja na umri kwamba wagombea wa ACT Wazalendo hawajitimiza umri wa kugombea na kwamba baadhi ya wagombea hawakuandika vizuri majina yao.
Swali langu wanajukwaa, huu ni Uchaguzi au Uchafuzi?

"Enyi mlioamini! Kuweni wenye kusimama kwa haki kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mtoapo ushahidi. Wala chuki yenu kwa watu isikufanyeni kutokutenda haki. Tendeni haki, kwani huko ndio kunako ucha Mungu..."