LGE2024 Njombe: Wagombea wapongezwa kwa utulivu wakati wa uchaguzi

LGE2024 Njombe: Wagombea wapongezwa kwa utulivu wakati wa uchaguzi

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,



Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya mji Makambako ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi Keneth Haule, amewapongeza wagombea wote walioshiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa jana November 27, kwa kuonesha utulivu.

Haule ameeleza hayo leo November 28, mara akiwa katika zoezi la kuwaapisha wenyeviti wa mitaa mbalimbali Katika Halmashauri ya mji wa Makambako.

Kupata taarifa na matukio ya kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
 
Mpumbavu mwenye cheo anabwatuka tu. Ndiyo uwezo wa akili yake ulipofika.
 
Back
Top Bottom