Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya mji Makambako ambaye pia ni msimamizi wa uchaguzi Keneth Haule, amewapongeza wagombea wote walioshiriki katika uchaguzi wa serikali za mitaa jana November 27, kwa kuonesha utulivu.
Haule ameeleza hayo leo November 28, mara akiwa katika zoezi la kuwaapisha wenyeviti wa mitaa mbalimbali Katika Halmashauri ya mji wa Makambako.