Njombe: Wananchi watengeneza daraja alipotumbukia mtoto

Njombe: Wananchi watengeneza daraja alipotumbukia mtoto

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Baada ya mtoto aliyekuwa anatoka shuleni kutumbukia mtoni wakati akivuka daraja, wananchi wa kitongoji cha Kilovoko kijiji cha Tandala wilayani Makete mkoani Njombe wameamua kufanya matengenezo ya eneo hilo ili lipitike kwa urahisi

Wananchi hao wakiendelea na matengenezo Februari 22, 2024 ambapo wameamua kuweka makalavati ili eneo hilo liweze kupitika kwani wamesema njia hiyo huitumia kwa shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo kwenda makaburini, kanisani pamoja na kwenye shughuli zao za kilimo kwa kuwa ni njia ya mkato

 
Back
Top Bottom