Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
"kisha unachuma kikonyo cha mti uliokomaa wa tunda wenye uzazi mkubwa, au tunda tamu", hauchumi kikonyo, unakwangua tawi kisha unapaka kihamasishaji mizizi unafunga udongo uliochanganya na majivu, tawi litaendelea kuota kulingana na msimu wake, kisha baada ya kutoa mizizi sehemu uliyochuna kata tawi na lipande, litaendelea na msimu wake wa kutoa matunda. Matumizi ya vikonyo yanapoteza muda wa kupata matunda, mengi huchukua miaka miwili na zaidi.Wanabodi,
Ukiondoa uwepo wa mtu, au watu na uhai wao, na uraia wao, kitu cha pili chenye thamani kubwa duniani ni ardhi. Ili ardhi ikuletee faida ni lazima uifanyie jambo, ulime, ujenge, uchimbe madini, umiliki, uuze viwanja, ufanye kilimo biashara, etc.
Leo nikiwa kwenye viwanja vya Saba Saba, nimekutana na maajabu haya
View: https://youtu.be/LA2wvBWsz64?si=jPqDSnJLODjzkX2x,
Kwa wale wenye ardhi, njooni Saba Saba, mnunue miche ya matunda yote iliyofanyiwa mabadiliko ya budding, yaani miti tofauti ina uwezo tofauti na uzazi tofauti, hii budding ni
Unapanda mti wenye mizizi mirefu na imara , kisha unachuma kikonyo cha mti uliokomaa wa tunda wenye uzazi mkubwa, au tunda tamu, kisha unakuja kukipachika khiko kikonyo kwenye lile shina la ule mti uliopanda mwanzo, hivyo kuugeuza ni mti wa matunda, unapachika hicho kikonyo cha mti unaozaa sana na kukipachika kwenye huo mti mchanga ulioupanda, ndani ya mwezi mmoja, huo mti unaaza kuzaa matunda!.
Hiki kinachofanyika ni kama surrogacy kwenye ujauzito wa binadamu wa kupandikiza mimba, kwa wale single mother, wanafanyiwa artificial insemination kwa unachagua mbegu bora, unapata mtoto bora genius!. Na kw wale wanawake wanaoharibu mimba, mimba ikiishatungwa, inachoropolewa, na kuchomekwa kwa mwanamke mwingine ngangari, atakaye kukubea hiyo mimba kwa miezi 9, akiishajifungua anakupa mtoto wako.
Ukifika tuu hapo Saba Saba, kwanza anza kuomba ukwaju tende, ni mtamu kama asali!
Njoo 77 Banda la Mama Mkapa WIPE Ushuhudie Miche ya Ajabu ya Matunda, Inazaa Fasta - Piga 0747336327 ulizia Mama Rutbertha Athanas Myonga au Mpigie 0747 336 827 Ulizia Tunda la Mche wa Tunda lolote upendalo.
Paskali
(Promota wa Wajasiriamali wadogo wadogo)
Natafuta machenzaSaba Saba ndio hiyo, inayoyoma!, kwa wale wa miche ya matunda matamu, changamkia hii fursa
P
Nimeyala leoNatafuta machenza
Natafuta Miche yakeNimeyala leo
Kama uko Moro nenda SUA.Natafuta Miche yake
SUA waliniuzia siyo matamu!Kama uko Moro nenda SUA.
Doh kumbe wanatuchanganyia,na watu wanwaamini kweli.Itakuwa miche ya maabara hiyoPole, miche mingi ni ya kitapeli, si michenza tu hata miembe unayotaka siyo unayouziwa.
Sawa paskali.Wanabodi,
Ukiondoa uwepo wa mtu, au watu na uhai wao, na uraia wao, kitu cha pili chenye thamani kubwa duniani ni ardhi. Ili ardhi ikuletee faida ni lazima uifanyie jambo, ulime, ujenge, uchimbe madini, umiliki, uuze viwanja, ufanye kilimo biashara, etc.
Leo nikiwa kwenye viwanja vya Saba Saba, nimekutana na maajabu haya
View: https://youtu.be/LA2wvBWsz64?si=jPqDSnJLODjzkX2x,
Kwa wale wenye ardhi, njooni Saba Saba, mnunue miche ya matunda yote iliyofanyiwa mabadiliko ya budding, yaani miti tofauti ina uwezo tofauti na uzazi tofauti, hii budding ni
Unapanda mti wenye mizizi mirefu na imara , kisha unachuma kikonyo cha mti uliokomaa wa tunda wenye uzazi mkubwa, au tunda tamu, kisha unakuja kukipachika khiko kikonyo kwenye lile shina la ule mti uliopanda mwanzo, hivyo kuugeuza ni mti wa matunda, unapachika hicho kikonyo cha mti unaozaa sana na kukipachika kwenye huo mti mchanga ulioupanda, ndani ya mwezi mmoja, huo mti unaaza kuzaa matunda!.
Hiki kinachofanyika ni kama surrogacy kwenye ujauzito wa binadamu wa kupandikiza mimba, kwa wale single mother, wanafanyiwa artificial insemination kwa unachagua mbegu bora, unapata mtoto bora genius!. Na kw wale wanawake wanaoharibu mimba, mimba ikiishatungwa, inachoropolewa, na kuchomekwa kwa mwanamke mwingine ngangari, atakaye kukubea hiyo mimba kwa miezi 9, akiishajifungua anakupa mtoto wako.
Ukifika tuu hapo Saba Saba, kwanza anza kuomba ukwaju tende, ni mtamu kama asali!
Njoo 77 Banda la Mama Mkapa WIPE Ushuhudie Miche ya Ajabu ya Matunda, Inazaa Fasta - Piga 0747336327 ulizia Mama Rutbertha Athanas Myonga au Mpigie 0747 336 827 Ulizia Tunda la Mche wa Tunda lolote upendalo.
Paskali
(Promota wa Wajasiriamali wadogo wadogo)
Tatizokubwa la Bongo ni kuwa wafanyabiashara ni kama matapeli. Anachojua ni kudanganya ili bidhaa yake itoke. Sisemi kuhusu hii thread bali biashara nyingi ndiyo zilivyo.SUA waliniuzia siyo matamu!
Hiyo si miche ya maabara bali ni wajasiliamali wa mitaani, hata wewe unaweza ukaunganisha na ukauza.Doh kumbe wanatuchanganyia,na watu wanwaamini kweli.Itakuwa miche ya maabara hiyo