njoo bukoba nije mwanza mjini

njoo bukoba nije mwanza mjini

ADAM SMITH

Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
81
Reaction score
23
mimi mwalimu ambaye nipo manispaa ya bukoba natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kwenda mwanza mjini...tuwasiliane kwa 0789152076
 
MahinaVeterani
Mwalimu, Ukerewe ni Mwanza Mjini?
Sio Mwanza mjini ila urahisi wa kufika Mwanza mjini upo ni tofauti na unavyokuwa Bukoba.
 
Back
Top Bottom