ADAM SMITH Member Joined Apr 8, 2014 Posts 81 Reaction score 23 May 14, 2014 #1 mimi mwalimu ambaye nipo manispaa ya bukoba natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kwenda mwanza mjini...tuwasiliane kwa 0789152076
mimi mwalimu ambaye nipo manispaa ya bukoba natafuta mwalimu wa kubadilishana nae kituo kwenda mwanza mjini...tuwasiliane kwa 0789152076
S shigegele JF-Expert Member Joined Mar 13, 2014 Posts 211 Reaction score 25 May 14, 2014 #2 njoo buhongwa sekondari
M MahinaVeterani JF-Expert Member Joined Aug 8, 2013 Posts 710 Reaction score 256 May 18, 2014 #4 Byanjweri said: Njoo ukerewe. Click to expand... Mwalimu, Ukerewe ni Mwanza Mjini?
B Byanjweri Member Joined Jul 12, 2013 Posts 80 Reaction score 7 May 18, 2014 #5 MahinaVeterani Mwalimu, Ukerewe ni Mwanza Mjini? Sio Mwanza mjini ila urahisi wa kufika Mwanza mjini upo ni tofauti na unavyokuwa Bukoba.
MahinaVeterani Mwalimu, Ukerewe ni Mwanza Mjini? Sio Mwanza mjini ila urahisi wa kufika Mwanza mjini upo ni tofauti na unavyokuwa Bukoba.