PowerWithin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2014
- 646
- 501
Yeah! Kulalamika mwisho 2016! Huu ni muda wa kuchacharika ewe mtanzania mwenzangu!
Fursa zipo kibao sana. Ila fikra zetu zimefungwa. Naziombea katika jina la Yesu Kristo fikra zetu zifunguliwe mwaka huu na tuanze kutiisha fursa na kujikwamua kimaisha! Amen.
Baada ya neno la ukombozi (of course huu mwaka ni wa kiroho zaidi) naomba kuweka hoja mezani.
Pale mabibo mwisho dsm. Kuna ofisi inapangishwa. Ofisi ina meza mbili kubwa. Mlango mzuri wa kioo (tinted). Viti vinne (ila sio vizuri sana). Na feni ya juu pangaboi kubwa tu.
Inawafaa wahasibu, wakaguzi wa mahesabu, wanasheria, mawakili, etc yaani kwa kifupi ofisi ya kisomi kisomi papers papers kwa sana. Ipo kwenye mazingira tulivu sana.
Ofisi iliyokuwepo hapo imehamia sehemu nyingine baada ya kujitanua kwa shughuli zake ofisi imekuwa ndogo. Blessings!
Sasa wanataka mtu wa kuchukua ofisi hiyo ambaye atarejesha gharama za meza, mlango wa vioo na feni. Badala ya kuving'oa na kuondoka nazo yamkini kuna watz wanahitaji.
Meza mbili sh 400,000 Mlango wa vioo sh 500,000 na feni sh 100,000. Jumla sh 1,000,000.
Kodi kwa mwezi pale sh 60,000 kwa mwezi tu. Hakuna dalali. Unaunganishwa na wahusika direct.
Nicheki hapa: appbit3@gmail.com
Karibuni!