Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Itakuwa wewe ndiye mwenye nyumba! Huyo mwingine ni middleman tu! Hapo ni kama mnauza hizo furniture tu!! Meza mbili na Mlango=milioni!! Halafu Ofisi yenyewe ambayo ndiyo main target ni elfu sitini tu kwa mwezi!! Unampangishia mtu nyumba halafu mlango unakuwa tofauti na nyumba! Biashara ndani ya biashara!! I. Like itMkuu usiweke picha wala nini.
Maelezo yako yanajitosheleza.
Mabibo napapenda sana..
Mkisikia kuna nyumba inauzwa mabibo niambieni
Kila kitu mnashuku.....kwani akipanga ofisi haweki meza? haweki feni? haweki mlango wa kioo? mbona haya maelezo hukuyatoa umekimbilia kushuku!? sasa biashara ndani ya biashara ipo wapi hapa?!Itakuwa wewe ndiye mwenye nyumba! Huyo mwingine ni middleman tu! Hapo ni kama mnauza hizo furniture tu!! Meza mbili na Mlango=milioni!! Halafu Ofisi yenyewe ambayo ndiyo main target ni elfu sitini tu kwa mwezi!! Unampangishia mtu nyumba halafu mlango unakuwa tofauti na nyumba! Biashara ndani ya biashara!! I. Like it
Janja janja wewe!.....swali hili halijibiwi! eeeehhh maana hamna namna !!!kwanini mkuu hutaki kunijibu na kwa nn umeilaumu akili yangu
Duh sikujua kama kulikuwa na vibaka....naona pako shwari tu!Vibaka wameshatumbuliwa huko? Maana palikuwa hatari kwelikweli
Labda anaongelea panya road wanaotokea kule luhangaDuh sikujua kama kulikuwa na vibaka....naona pako shwari tu!
Biashara ya Nyumba na mlango!!Kila kitu mnashuku.....kwani akipanga ofisi haweki meza? haweki feni? haweki mlango wa kioo? mbona haya maelezo hukuyatoa umekimbilia kushuku!? sasa biashara ndani ya biashara ipo wapi hapa?!
Ofisi bila tenda au biashara ya kuingiza kipato ni bure tuuYeah! Kulalamika mwisho 2016! Huu ni muda wa kuchacharika ewe mtanzania mwenzangu!
Fursa zipo kibao sana. Ila fikra zetu zimefungwa. Naziombea katika jina la Yesu Kristo fikra zetu zifunguliwe mwaka huu na tuanze kutiisha fursa na kujikwamua kimaisha! Amen.
Baada ya neno la ukombozi (of course huu mwaka ni wa kiroho zaidi) naomba kuweka hoja mezani.
Pale mabibo mwisho dsm. Kuna ofisi inapangishwa. Ofisi ina meza mbili kubwa. Mlango mzuri wa kioo (tinted). Viti vinne (ila sio vizuri sana). Na feni ya juu pangaboi kubwa tu.
Inawafaa wahasibu, wakaguzi wa mahesabu, wanasheria, mawakili, etc yaani kwa kifupi ofisi ya kisomi kisomi papers papers kwa sana. Ipo kwenye mazingira tulivu sana.
Ofisi iliyokuwepo hapo imehamia sehemu nyingine baada ya kujitanua kwa shughuli zake ofisi imekuwa ndogo. Blessings!
Sasa wanataka mtu wa kuchukua ofisi hiyo ambaye atarejesha gharama za meza, mlango wa vioo na feni. Badala ya kuving'oa na kuondoka nazo yamkini kuna watz wanahitaji.
Meza mbili sh 400,000 Mlango wa vioo sh 500,000 na feni sh 100,000. Jumla sh 1,000,000.
Kodi kwa mwezi pale sh 60,000 kwa mwezi tu. Hakuna dalali. Unaunganishwa na wahusika direct.
Nicheki hapa: appbit3@gmail.com
Karibuni!