Njoo hapa kwanza tujuzane >machimbo:-ya viatu na nguo za kiume kwa bei nafuu

sido9797

Senior Member
Joined
Aug 15, 2018
Posts
160
Reaction score
84
Awali ya yote napenda kumshukuru mola kwa kutufikisha 2019 mimi na wewe unaesoma hapa. Basi niishie hapo na kusema hali ni tete hamna ajila pesa saivi ipo ikulu sasa mie sitaki kusubili nipewe kama zari la mentali na mkuu, Nina kamtaji kangu nataka nijikimbize maisha niwalipe na kodi yao kiroho safi, kama tunavyoona ajila hazisomeki so kabla mambo hayajahalibika nataka kuuza viatu na nguo za kiume ili kuendana na speed ya viwanda na uchumi wa kati''niliamua kufanya hiyo biashara kwa sababu naipenda ..
Sasa tuweke roho mbaya pembeni(msaada au support) nataka kufikaa kariakoo mwenyewe nimechoka kuagiza na kupigwa parefu basi kama wewe ni wa mkoani au upo dsm tujuzanee machimboo au maduka ya viatu vya kiume na nguo(jeans&tshirts)n.k kwa bei nafuuu.

Natanguliza shukranii .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...fuata huo uzi uliowekewa hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…