Njoo Jiunge Nasi-MWANZA

Sabina78

Member
Joined
May 20, 2012
Posts
24
Reaction score
6
Kwa vijana wa jiji la mwanza, wasomi ambao mko kwenye safari ya kutafuta kazi njoo tufanye hii kazi!
Ni tenda ya kufanya usafi wa jiji; tenda imetangazwa na jiji (ukipita mbao za matangazo ya jiji utaona tangazo).
Sasa swala zima limekaa hivi;
mimi pale kuna jamaa nafahamiana nae, na kaniambia kuwa nitafute wenzangu tuwe 10 ili twende kama kikundi. Kikundi kitafanyiwa usajili haraka wiki ijayo, then tutatuma proposal yetu. Nimeamua niwashirikishe vijana wenzangu sababu nayajua mnayopitia.
So, kama uko seriuos na we ni fighter unayeishi Mwanza, nichek kwa e-mail: sabinamayala@hotmail.com.
Hii ni kwa wale wenye diploma au degree katika social sciences, environmental studies and other related fields,
plus your comitment!
 
big up , kila la kheri ndugu zangu
 
Ndugu zangu wa Mwanza changamkeni.. mie huko mwanza ndo kwetu lakini kwa sasa nipo Dar Es Salaam ila km ningekua Mwanza I would be the first to send email.
Nawatakia kila la heri
 
Safi sana vijana,
tukifanya hv maeneo yote ya kilimo na viwanda hakuna haja ya wawekezaji uchwala, wanaonunua mashamba kapunga ya mpunga na kuanza kukodisha mashamba kwa wananchi!
 
hilo bonge la dili mnaweza mkaanza kwa kufanya nyie wakiwalipa malipo ya kwanza mnajili kundi la kutosha.changamkeni wakaz wa mwanza huo ni mlango wa kutokea big up Sabina78
 
Last edited by a moderator:
Thank u Da Sabina vipi mwenye barchelor ya education anaweza kujoin?m serious please!
 

Hapo mwenye tenda anaweza kuwa huyo niliyempigia msitari, kwani mtalazimika kumpa percentage yake.
 
Hapa kila siku watu wamekuwa wakipiga kelele mikataba mibovu na ufisadi; leo hii mtu anakuja na idea ya mchezo mchafu na watu wanasema good idea; kumbe watu wanapiga kelele kwa sababu hujapata hizo channel na wewe ukipata unakula kama wao. Kuna taratibu za kutangaza tenda na hata kupatikana huyo mzabuni, leo unatuambia kuna jamaa yako kakuambia utafute wenzako halafu yeye atarekebisha; kikundi hicho kitapata usajili lini hata kuwa na ofisi na kuweza kupewa hiyo tenda........??? HUU MCHEZO MCHAFU.......??? na WENGI HAPA WANADAI - GOOD IDEA...???, kweli nimeshindwa kuelewa huo ukombozi ambao kila siku watu wanapiga kelele...........?????????????
 

tafuta haki, ukiipata uje unigawie kakipande kidogo!
 
sabina tumekutumia email bona no answer kulikoniiiiiii

sorry sana nilikuwa vilage, nilifatilia mambo kadhaa, nitawacontact very soon. Tuvumiliane kidogo, naijua sana stuation ulonayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…