House4Sale Njoo mdau wetu kwenye nyumba ujionee mwenyewe inauzwa Chanika Mwisho mjini

Joined
Sep 11, 2020
Posts
52
Reaction score
22
Nyumba mpya inauzwa ipo mjini Chanika Mwisho.

Kwa tshg million 21,000,000/=


Ukubwa wa eneo sqm 400

Nipigie:+255 6 28 00 82 18/+255 7 54 90 80 45

Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala chumba kimoja master ina public toilet na sitting room pia huduma zote za kijamii zinapatikana karibu.

 
Mbona nyumba nzuri halafu bei ni ndogo? Au ina mgogoro?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…