Njoo mfahamu Mwifwa, kama humfahamu.

Mwifwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
48,474
Reaction score
125,866
Kwenye Avatar ni Mwifwa halisi/original.

Hapo alikuwa kidato cha kwanza Uboizini miaka kadhaa iliyopita.

Jee ukimuona kwa sasa ghafla utaweza kumtambua?

Daaahh, life bana linatupeleka puta sana hadi tunabadilika kiumbo(mnene/mwembamba), kisura, rangi(weupe, weusi, maji ya kunde n.k).
 
Mm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.

Siimani hiyo avatar ni wewe kweli

Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.
 
Embu fafanua apa mzee ulkua

Blue label
Green label
Red label
Black lable
Nazani tuna elewana nilicho kiandika apo juu
Kama background ya picha, hiyo ni blue mkuu, ambayo ni mahsusi kwa picha za passport
 
Mm nakufahamu nakumbuka tulivyokula wote kuku pale maeneo ya DODOMA tukapanda zetu li vix la serikali mpaka kilimani.

Siimani hiyo avatar ni wewe kweli

Nina wivu na mm nimejiweka hapo nimekulipa.View attachment 1182241
Ni mimi kabisa hapo, hiyo ni ya kitambulisho changu cha sékondari, bado nimekitunza hadi muda huu na hata tulipokutana pale Dom nilikuwa nacho.

Kwa sasa jinsi nilivyotofauti na hiyo picha hadi nashangaa mwenyewe.

Ila hayo mapaja hunionei huruma kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu hayo masikio ni ya ushirika au !!!

Huyo dogo ni mrefu inaonekana ila wewe ni mfupi mnene mweusi, mwenye macho mekundu na midomo mikavu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Umepatia tu kwenye urefu wa huyo dogo, mengine umekosa
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] Mkuu hayo masikio ni ya ushirika au !!!

Huyo dogo ni mrefu inaonekana ila wewe ni mfupi mnene mweusi, mwenye macho mekundu na midomo mikavu.
Hivi wewe una undugu na Baba Swalehe ??

Mbona naona kama mna DNA zinazo match?

Nawashauri muoe mabinti wa Chattle ili nyota ya ukuu wa wilaya iwaangukie

Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…