Joseph Kasa-Vubu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 356 Reaction score 550 May 2, 2015 #1 Mimi ni mwalimu(idara ya sekondari),napenda kubadilishana na mtu aliye sehemu yoyote katika mikoa ya SHINYANGA au MWANZA aje MARA-MUSOMA DC(MAJITA),aliye tayari ani pm kabla ya uhamisho wa June.
Mimi ni mwalimu(idara ya sekondari),napenda kubadilishana na mtu aliye sehemu yoyote katika mikoa ya SHINYANGA au MWANZA aje MARA-MUSOMA DC(MAJITA),aliye tayari ani pm kabla ya uhamisho wa June.
K KAKA YAKO NAPITA JF-Expert Member Joined May 16, 2014 Posts 1,322 Reaction score 233 May 2, 2015 #2 majita iko Musoma(R),unaeza kuja kwimba mkuu.
Joseph Kasa-Vubu JF-Expert Member Joined Feb 11, 2014 Posts 356 Reaction score 550 May 3, 2015 Thread starter #3 KAKA YAKO NAPITA said: majita iko Musoma(R),unaeza kuja kwimba mkuu. Click to expand... Naweza kuja mkuu,angalia pm yangu
KAKA YAKO NAPITA said: majita iko Musoma(R),unaeza kuja kwimba mkuu. Click to expand... Naweza kuja mkuu,angalia pm yangu