Njoo na visa vya ukweli ulivowahi kusoma JF na sisi tuburudikee

Njoo na visa vya ukweli ulivowahi kusoma JF na sisi tuburudikee

judey

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
450
Reaction score
535
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza wazi kabisaa

Kama uliwahi soma kisa cha ukweli ,iwe kinahusu mapenzi harakat za maisha, matukio mbali mbali ya kihistoria

Just share with us

Na sisi tuburudikee

JF ni ya kwetu soteee
 
Back
Top Bottom