Njoo nikupe elimu ya ujasiriamali hii

Njoo nikupe elimu ya ujasiriamali hii

Joined
Nov 22, 2014
Posts
18
Reaction score
32
Kama mjasiriamali na mtaalamu wa huu ujuzi wa usindikaji wa vyakula, kwa miaka takribani kumi nimewasaidia watengenezaji wa wine na pombe kali kwa kuwapa formula kamili na rahisi za kutengeneza wine na pombe kali!

Utapata formula ya kutengeneza wine kwa kutumia matunda mbalimbali: Ndizi, nanasi, nyanya, machungwa, beetroot, zabibu, tikiti, na mengineyo mengi!

Utaweza kutengeza wine hapo hapo nyumbani ulipo, kwa kutumia vifaa vya kawaid kabisa, na kwa usafi na usalama wa hali ya juu!

Pia kwa wale wenye uwezo wa kufungua viwanda vikubwa, mchanganuo wa hatua zote na mashine zinazohitajika unapatikana, na jinsi ya kufanya uzalishaji kulingana na sheria zote za usalama wa chakula za nchi.

Mahali utakapopata vifungashio, pamoja na malighafi utapata maelezo bure!

Kwa walio tayari njia kuwekeza kwenye hili na kujifunza, naomba tuwasiliane!
 

Attachments

  • 20231205_200128.jpg
    20231205_200128.jpg
    67.2 KB · Views: 10
  • 20231205_200124.jpg
    20231205_200124.jpg
    63.8 KB · Views: 11
kama umekuja kwa lengo la kusaidia watu we mwaga kila kitu hapa, ila kama ni tangazo sawa, subiri watawasiliana na wewe.
 
Ukiitwa kwenye fursa jua wewe ndiyo fursa yenyewe kazi kwenu
Chugua mnazika hapa au mnasafirisha

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom