Njoo nikupe SPARE kwa bei sawa na bure

Njoo nikupe SPARE kwa bei sawa na bure

Wakuu, Sina haja ya salamu. Naitoa hii CLUTCH PRESSURE kwa bei sawa na bure, Niliiagiza mtandaoni ila imekuja ikiwa tofauti kidogo na ya kwenye gari yangu, hivyo naamua kuiuza kwa bei ndogo sana.

Nataka 80k TU.

Njoo whatsap kuona picha : 0763708877
Ya gari gani mkuu?
Au kwa wenye Yutong pekee?
 
Back
Top Bottom