Plot4Sale Njoo nikuuzie kiwanja changu

Plot4Sale Njoo nikuuzie kiwanja changu

PastorA

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Posts
361
Reaction score
275
Bwana Yesu Kristo asifiwe, ....
Asalaam aleykum......

Habari zenu wana jamii forums nauza kiwanja changu binafsi kipo mbezi ya kimara -Makabe zoezi la upimaji tayari ila hati bado hazijaja, nimekosa picha lakini kipo sehemu nzuri sana, na nitambarare, umeme na maji ya dawasco yapo hapo hapo hatua kumi na tano tokea kwenye kiwanja,
Njoo nikuuzie kwa bei ya kawaida tuu

Bei ni 5,500,000/= mazungumzo yapo kwa kuwa ni mm mwenyewe ndio muhusika,

Ukubwa wake ni Square meter 205

Mawasiliano: 0655112023

NB: KIWANJA NI KIZURI NA NI TAMBARARE KABISA

Pia kama kuna dalali atahitaji kusimamia hii kazi namkaribisha lengo langu ni kuuza kwa amani kabisa.
 
Endelea kutafuta picha kwanza biashara ya kufanya biashara kwenye yalishapitwa lete picha
Sawa nitafanya hivyo kiongozi, japo nina uhakika na tangazo langu kwa sababu hata akitojea mtu kuona haina neno, anaweza kukiona ila nitajitahidi kuweka picha jana nilisahau kukipiga picha na wazo la kuuza limekuja leo
 
Square metres 205!!! ?? Umekosea au?? Kwa shilingi 5.5M??
 
Bwana Yesu Kristo asifiwe, ....
Asalaam aleykum......

Habari zenu wana jamii forums nauza kiwanja changu binafsi kipo mbezi ya kimara -Makabe zoezi la upimaji tayari ila hati bado hazijaja, nimekosa picha lakini kipo sehemu nzuri sana, na nitambarare, umeme na maji ya dawasco yapo hapo hapo hatua kumi na tano tokea kwenye kiwanja,
Njoo nikuuzie kwa bei ya kawaida tuu

Bei ni 5,500,000/= mazungumzo yapo kwa kuwa ni mm mwenyewe ndio muhusika,

Ukubwa wake ni Square meter 205

Mawasiliano: 0655112023

NB: KIWANJA NI KIZURI NA NI TAMBARARE KABISA

Pia kama kuna dalali atahitaji kusimamia hii kazi namkaribisha lengo langu ni kuuza kwa amani kabisa.
Mkuu kwa square mita 205 ni sawa na hatua ngap kwa ngap ?
Kama mita 14 kwa 14 hivi. Fanya Square root ya hiyo aliyokupa
 
Yaani ==> 14.31782106327635 m x 14.31782106327635m = 205 mita za mraba

Yaani square root ya eneo zima inaweza kukupa idea ya urefu na Upana lakini inaweza pia kuwa mita 10 kwa mita 20.5
Shukrani! Hapo sasa nimeelewa na ngoja niisave hii kanuni ili nisihangaike tena siku nyingine
 
Sawa nitafanya hivyo kiongozi, japo nina uhakika na tangazo langu kwa sababu hata akitojea mtu kuona haina neno, anaweza kukiona ila nitajitahidi kuweka picha jana nilisahau kukipiga picha na wazo la kuuza limekuja leo
tulioko manyovu pia tuje mbezi kukiona halafu tuongee biashara?
 
Back
Top Bottom