Plot4Sale Njoo nikuuzie kiwanja Mbweni, DSM 625sqm

Plot4Sale Njoo nikuuzie kiwanja Mbweni, DSM 625sqm

Nyuki Mdogo

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2021
Posts
4,134
Reaction score
10,644
KIWANJA KINAUZWA, MBWENI DARE SALAAM

SIZE: 25m*25m

dakika 5 kutoka Bagamoyo Road

Miundombinu yote ipo na kumeshajengeka sana

Bei 8.million (milioni 8 tu za kitanzania)

Mawasiliano 0713096076

Screenshot_20220630-162053_1.jpg
Screenshot_20220630-162043_1.jpg
 
mmh kun harufu ya kupigwa.mbweni ushuani 8m
 
mmh kun harufu ya kupigwa.mbweni ushuani 8m
Ila binadam hamnaga shukrani hata kidogo. Upigweje wakat kuna taratibu za kufuata za kiserikali.

kama mtu anauzia shida za ghafla utataka umpangie bei?
 
Samahani kiongozi nataka kujua hii ni mbweni ya kiharaka? Au mbweni yenyewe?
 
Back
Top Bottom