INAUZWA Njoo nikuuzie nguo za kiume kwa bei ya jumla

INAUZWA Njoo nikuuzie nguo za kiume kwa bei ya jumla

ziloi

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2018
Posts
758
Reaction score
1,063
Asaalam,

Kama nilivyojielezea hapo mwanzo, kwa mtu yoyote au mfanyabiashara wa nguo za kiume mjini Dodoma njoo nikuuzie nguo za kiume kwa bei ya DSM. Sababu za kuuza ni kufunga biashara yangu baada ya kukosa mtu wa kusimamia maana awali nililifungua baada ya mdogo wangu kumaliza chuo akawa hana kazi yupo tu mtaani tukashauriana kufungua. Miezi mitatu nyuma alipata kazi na kuondoka mkoa huu changamoto ikatokea kwenye wafanyakazi kuwa wasumbufu.

Hivyo nimeamua kulifunga rasmi. Mwenye uhitaji huo pls nichek inbox tuongee nitakuuzia ile ile bei unayochukulia DSM na siyo lazima uchukue zote, Only utakazoona zinakufaa unalipia basi.

Mhimu: Nguo nyingi hazikuwa zimefunguliwa kabisa.
Aina: jens, kadet, T-shirt, shirt, form6, mikanda, viatu vichache, soksi, boxer, pens aina zote, track na n.k

Karibu sana.



Sent using Jamii Forums mobile app



UPDATE
•Mzigo wa nguo umeuzwa wote.

•Mzigo uliobaki ( Bei ni ile ile ya jumla)

Viatu vyeusi vya kamba size 45. 70,000 kutoka 150,000
viatu damu ya mzee kamba size 44.
65,000 kutoka 140,000
Soksi zile za kunukia pc 10 4000@ kutoka 7000
Mkanda ( nyeusi na damu ya mzee) pc3 10,000 kutoka 25,000

Nguo classic za watoto wa kiume chache. Hizi ni maelewano kwa anayetaka kuweka dukani kwake, T.shirt, kadeti, shorts za jeans na Shirts.

Karibu
 
Weka picha
Mkuu picha ni kama ivyo kipindi zipo dukani. kusema sasa ivi nipige picha mzigo uliofungwa kiukweli sina huo mda. utanisamehe tu
IMG_20200408_183156_525.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
nataka cheki kadet, nipe bei huko inbox tuache maneno mengi.
 
Mkuu, mdogo wako kapata kazi serikalini au binafsi..? Maana si kwa ugumu huu na msoto ulokuwa sasa HV... Tupeane basi hizo connections guyz..
 
Mkuu fikilia kuamishia duka dar.

Msimamiz nipo. Tena uaminifu usiotia doa.

Fikilia kwanza hilo then ukiona inafaa tutajadili mambo mengineyo..
 
Back
Top Bottom