NJOO NIKUUZIE SALOONI YA KIUME BEI YA KUOKOTA

scientificall

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
457
Reaction score
328
kwa anaehitaji saloon ya kiume in a kila kitu mashine za kunyoa 2, vioo 3, viti vya kunyolea vya dukani 2 kiti cha wateja cha chuma vile special vya dukani kinakaliwa na watu watatu 1 ,shelf 2. ,salooni nauza kwa 350,000/= fixed. location ni mwanza Buhongwa kama upo interested hamna haja ya kujibu huku wewe ncheki whatsap 0674978709 au nipigie 0615 953988.
 
Weka picha
 
Kitu Chochote Ulimwenguni Ukiona Kinauzwa Halafu hakuna picha OGOPA sana...!

Nashangaa hapa No Photo, why?
 
Back
Top Bottom