Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,063
- 12,866
Nakumbuka nilipoanza kutumia jamiiforum kama guest miaka mitano iliyopita nilikuwa nina mihemko sana.
Basi bana vruu nikaingia jukwaa la mahusiano na kukutana na uzi wa dada mmoja anatafuta mchumba basi nikasoma uzi wote mwishon kaandika aliye serious aje PM .
Kila aliyeuliza swali yule binti alijibu njoo PM.
Basi nikamchek yule dada kwenye avatar yake nikamkubali ila nikawa sijui kabisa PM ndo wapi?
Nilijiuliza sana na kwa kuwa sikuwa member wa jamiiforum nikawa nashinda kucomment. Baada ya kujiuliza kwa mda mrefu ghafla bin vuu nikakumbuka nilipokuwa Ruvuma miaka hiyo nipo sekondary PM lilikuwa neno maarufu sana kwa maana ya Peramiho nikaunganisha dots nikapata jawabu huyu dada yupo Peramiho.
Basi bhana nikakata shauri kufunga safar kutoka Dodoma mpaka Peramiho nikijua kwa kuwa anaitwa Dainess basi ntajitahid kumuulizia pale peramiho mpaka nimpate maana mji ni mdogo ( Masikini kumbe Dainnes ilikuwa ni avatar tu?
Baada ya Siku mbili nimeondoka Dodoma mpaka Songea mjini then siku iliyofuata nikaenda Peramiho kufika pale uliza uliza nikampata dada mmoja mwenye jina la Dainnes basi nikamweleza kwa mbwe mbwe zote kwamba nimefunga safar toka Dodoma kwa kuwa nipo serious kuitikia wito alioutoa jamiiforum kutafuta mchumba aliye serious.
Niliaibika sana siku ile na najicheka na kujilaani sana kila nikikumbuka tukio lile na roho inaniuma kweli.