Pfizer JF-Expert Member Joined Mar 25, 2021 Posts 590 Reaction score 807 Jul 12, 2023 #1 Watumishi wa Wizara ya Madini, Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini wanaendelea kutoa elimu, ushauri kwa wadau wanaotembelea banda la Wizara (MADINI PAVILION) katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Watumishi wa Wizara ya Madini, Taasisi zake na Wadau wa Sekta ya Madini wanaendelea kutoa elimu, ushauri kwa wadau wanaotembelea banda la Wizara (MADINI PAVILION) katika Maonesho ya 47 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.