Njoo Samaki Samaki

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
94,296
Reaction score
122,540
Nimekuja hapa Samaki Samaki ya Mlimani City dakika chache zilizopita lakini sina kampani.

Nahitaji kampani ya mchuchu ila kuna sharti moja tu jepesi - nahitaji mchuchu ambaye hayupo singo.

Yaani nahitaji mchuchu ambaye ana bwana tayari.

Mchuchu njoo ule raha na Ngabu. Mi nakunywa Heineken kama inavyoonekana hapo pichani....nshakula na mishkaki lakini kwa vile iko mitamu balaa nadhani ntaongeza mingine.

Aliye na raghba ya kuja ku hang out na Ngabu aniPM.

 
Ngoja watakuja mkuu umetoka lini USA?
 
Hongera. Bado unaishi kama malaika
 
Dinazarde hujamcheki?? Anapenda sana wanaume wa marekaniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…