Njoo tufanye kazi pamoja

Njoo tufanye kazi pamoja

geesten66

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
2,042
Reaction score
2,370
Habari ndugu.

Sikuhizi ajira zimekosa mambo yamekuwa magumu
Kuna Rafiki yangu anafanya kazi kwa muhindi kariakoo ya kuuza bidhaa za Dukani

Anatafuta mtu wa kuchanga naye mtaji waanzishe Biashara ya nguo za kike pamoja na viatu vya kike maeneo ya Gongo la mboto
Tunajuwa maeneo yote yakuchukuwa mzigo kariakoo kwa bei sawa na bure

Tunahitaji mtu mmoja wa kushirikiana naye mtaji aliyepo Dar es salaam

Tupo watu wa 2 tunaitaji mwengine wa Tatu
Kiasi kinacho takiwa uwe na shilingi laki 400000
kwenye kila laki nne tutatoa laki 100000 kwaa jili ya fremu itabaki laki 9 ndiyo tuta chukulia mzigo kariakoo

Kuhusu kununuwa tutakuwa bega kwa bega hela yako ukiwa umeishika mwenyewe.
 
Gharama ya leseni ya biashara pamoja na Tin number analipia nani?
 
tafuteni mtu mnayefahamiana
ohooo! shauri yenu, jamaa akilala mbele na hela ya mtaji na hujui pa kumpata
Hao wanataka mtu, wa kujiunga nao, unaamini vipi, siku hizi anza kutia shaka kila sehemu.

Mtu maarufu huchukua biashara hata kwa mali kauli, na pesa hurudishwa baadae, iweje antafute mtu yeyote tu.

Angalia mtalizwa, mjini hapa. Ila sina maana huyo jamaa ni tapeli bali jiulize kwanza kabla hujafanya, kama unavyojiuliza juu daya za utajiri toka kwa waganga wa kienyeji.

Kuwa wanauza dawa ya utajiri hali wao hata pikipiki hana.
 
vipi kuhusu vibali vya biashara leseni na mengineyo vitalipiwa na nani
 
Hao wanataka mtu, wa kujiunga nao, unaamini vipi, siku hizi anza kutia shaka kila sehemu.

Mtu maarufu huchukua biashara hata kwa mali kauli, na pesa hurudishwa baadae, iweje antafute mtu yeyote tu.

Angalia mtalizwa, mjini hapa. Ila sina maana huyo jamaa ni tapeli bali jiulize kwanza kabla hujafanya, kama unavyojiuliza juu daya za utajiri toka kwa waganga wa kienyeji.

Kuwa wanauza dawa ya utajiri hali wao hata pikipiki hana.
Ni hivi mshikaji siyo maarufu kwenye ishu za mzigo yeye kazi yake kuongea na wateja tu pale nnje ya Duka, na Mimi nimeajiriwa mkowa ila kazi yenyewe nataka kuitema nirudi zangu bongo ndiyo tumepanga tupige biashara. Pamoja
 
Aah, sawa mkuu umeleweka, ni tahadhari tu mkuu uijali.
 
Back
Top Bottom