Njoo tuikumbuke Olympic Lyon iliyosumbua Ligue 1

Kimsingi soka la ufaransa lina kipindi chake liliweza kuwaamsha watu kwani dhana ya kuwa ni soka laini ilikuwepo na bado kwa baadhi ya watu huliona hivyo. Naikumbuka monaco ya kina evra nayo iliwatoa udenda Madrid winga jerome rothern na full back evra walimpiga mande (nde )roberto Carlos mpaka akashika kiuno na wakiendelea mbali mpaka kufika final na kufungwa 3 na Porto ya Ureno.
 
Umenikumbusha mbali sana mkuu huyo jerome nothern namkumbuka sana hususani kwenye mechi ya nusu fainal monaco akicheza na derpotivo La curuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…