Njoo tuinze safari ya mapenzi kuelekea ndoani pamoja

Ahyan

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2019
Posts
2,310
Reaction score
5,482
Salaam wana Jf

Mimi ni kijana umri wangu miaka 25,
Nipo katika hitaji la mwanamke ambaye tutaianza pamoja safari ya mahusiano kisha ndoa hapo baadaye...

_Awe muislamu
_ Awe na miaka kati ya 21 hadi 25
_ Mwenye kujiheshimu na kuheshimu wengine
_ Msiku na Mtulivu
_ Muelewa

Karibu sana
 
Pole sana.

Wachache kama sio hakuna waliwahi pata mwanamke mwema kwa mtindo huu.

Ama mwanamke utapata tu.ila kupata mtulivu ndo shida.

Utapata mwanamke anaetaka ndoa sio anaekutaka wewe.shughuli mkianza maisha hayo sasa utaota mvi mapemaaaaa utakuwa kama lowassa kichwani.

Kupata mwanamke wa ndoa ni proccess inayohitaji umakini+akili+maombi+utafiti-utoto-kuiga....hapo unaweza kubahatisha kupata aliyetulia tulia.
 
Pole sana.

Wachache kama sio hakuna waliwahi pata mwanamke mwema kwa mtindo huu.

Ama mwanamke utapata tu.ila kupata mtulivu ndo shida.

Utapata mwanamke anaetaka ndoa sio 0 wewe.shughuli mkianza maisha hayo sasa utaota mvi mapemaaaaa utakuwa kama lowassa
Aisee
 
Habari ndo hyo.

Hivi mwanamke ambae utadumu nae maisha yako yote mpaka kifo inaingia akilini unachagua simple like that kwelii mkuu?

Kama chuo na shule ya kwenda kusoma unaifanyia tafiti ili usiingie mkenge tena kusoma utasoma miaka miwili au mitatu tu lakini unakuwa makini kuchagua shule.,vipi sasa kumchagua mtu ambaye utakuwa nae miaka yote unadhani kunahitaji umakini zaidi ya ule wa kuchagua shule ama umakini usiozidi ule wa kuchagua shule ?
 
Sasa mkuu hapa si ndio ataanza kujuana nae na wataanza kupimana?? Au wewe ulidhani anataka aoe kesho??

Kwani kama hawaeleweni si anamuacha tu?? Hebu wish him luck bhana
 
Ahahh kosa kubwa hilo.

Katika makosa makubwa tunafanya wanaume ni kujifanya kumchunguza mtu ambaye mwenyewe anajua kwamba anachunguzwa(mchumba) na anajua mchunguzaji anataka kumuona na tabia gani

Tunakosea kumpima mtu ambae mwenyewe anajua kwamba anapimwa.

Hivi mwanamke gani ambaye anatamani ndoa alafu akatokea mtu akamtangazia ndoa then akajionesha kabisa anamchunguza,na mwanamke akajua hapa nachunguzwa kama nafaa ili niolewe.hivi mwanamke yupi ambaye ataonesha ngozi yake halisi baada ya kujua yote haya?

Sasa akimchunguza huku mchunguzwaaji akijua anachunguzwa basi hapo mzee baba tegemea kuona maigizo ya kufa mtu.

Hakuna mwanamke ambae hajui sifa ambazo mwanaume anataka kumuona nazo mkewe mtarajiwa,kwa hyo ni maigizo tuu.

Njia salama ya kupata ukweli wa mtu ni kumzunguka ama kumchunguza huku asijue kama anachunguzwa.

Ndoa ni proccess

Umeongea jambo la msingi, lakini naamini katiba 10 hawawezi kosekana wenye kujielewa na kujitambua kama mwanamke... Hasa thamani yake kama mwanamke
 
Ahahh kosa kubwa hilo.

Katika makosa makubwa tunafanya wanaume ni kujifanya kumchunguza mtu ambaye mwenyewe anajua kwamba anachunguzwa(mchumba) na anajua mchunguzaji anataka kumuona na tabia gani

Tunakosea kumpima mtu ambae mwenyewe anajua kwamba anapimwa.

Hivi mwanamke gani ambaye anatamani ndoa alafu akatokea mtu akamtangazia ndoa then akajionesha kabisa anamchunguza,na mwanamke akajua hapa nachunguzwa kama nafaa ili niolewe.hivi mwanamke yupi ambaye ataonesha ngozi yake halisi baada ya kujua yote haya?

Sasa akimchunguza huku mchunguzwaaji akijua anachunguzwa basi hapo mzee baba tegemea kuona maigizo ya kufa mtu.

Hakuna mwanamke ambae hajui sifa ambazo mwanaume anataka kumuona nazo mkewe mtarajiwa,kwa hyo ni maigizo tuu.

Njia salama ya kupata ukweli wa mtu ni kumzunguka ama kumchunguza huku asijue kama anachunguzwa.

Ndoa ni proccess
How old is your marriage kwanza?? Maana mimi sometimes kuzozana siwezi
 
Back
Top Bottom