AiseePole sana.
Wachache kama sio hakuna waliwahi pata mwanamke mwema kwa mtindo huu.
Ama mwanamke utapata tu.ila kupata mtulivu ndo shida.
Utapata mwanamke anaetaka ndoa sio 0 wewe.shughuli mkianza maisha hayo sasa utaota mvi mapemaaaaa utakuwa kama lowassa
Aisee
Sasa mkuu hapa si ndio ataanza kujuana nae na wataanza kupimana?? Au wewe ulidhani anataka aoe kesho??Habari ndo hyo.
Hivi mwanamke ambae utadumu nae maisha yako yote mpaka kifo inaingia akilini unachagua simple like that kwelii mkuu?
Kama chuo na shule ya kwenda kusoma unaifanyia tafiti ili usiingie mkenge tena kusoma utasoma miaka miwili au mitatu tu lakini unakuwa makini kuchagua shule.,vipi sasa kumchagua mtu ambaye utakuwa nae miaka yote unadhani kunahitaji umakini zaidi ya ule wa kuchagua shule ama umakini usiozidi ule wa kuchagua shule ?
Sasa mkuu hapa si ndio ataanza kujuana nae na wataanza kupimana?? Au wewe ulidhani anataka aoe kesho??
Kwani kama hawaeleweni si anamuacha tu?? Hebu wish him luck bhana
Umeongea jambo la msingi, lakini naamini katiba 10 hawawezi kosekana wenye kujielewa na kujitambua kama mwanamke... Hasa thamani yake kama mwanamkeHabari ndo hyo.
Hivi mwanamke ambae utadumu nae maisha yako yote mpaka kifo inaingia akilini unachagua simple like that kwelii mkuu?
Kama chuo na shule ya kwenda kusoma unaifanyia tafiti ili usiingie mkenge tena kusoma utasoma miaka miwili au mitatu tu lakini unakuwa makini kuchagua shule.,vipi sasa kumchagua mtu ambaye utakuwa nae miaka yote unadhani kunahitaji umakini zaidi ya ule wa kuchagua shule ama umakini usiozidi ule wa kuchagua shule ?
How old is your marriage kwanza?? Maana mimi sometimes kuzozana siweziAhahh kosa kubwa hilo.
Katika makosa makubwa tunafanya wanaume ni kujifanya kumchunguza mtu ambaye mwenyewe anajua kwamba anachunguzwa(mchumba) na anajua mchunguzaji anataka kumuona na tabia gani
Tunakosea kumpima mtu ambae mwenyewe anajua kwamba anapimwa.
Hivi mwanamke gani ambaye anatamani ndoa alafu akatokea mtu akamtangazia ndoa then akajionesha kabisa anamchunguza,na mwanamke akajua hapa nachunguzwa kama nafaa ili niolewe.hivi mwanamke yupi ambaye ataonesha ngozi yake halisi baada ya kujua yote haya?
Sasa akimchunguza huku mchunguzwaaji akijua anachunguzwa basi hapo mzee baba tegemea kuona maigizo ya kufa mtu.
Hakuna mwanamke ambae hajui sifa ambazo mwanaume anataka kumuona nazo mkewe mtarajiwa,kwa hyo ni maigizo tuu.
Njia salama ya kupata ukweli wa mtu ni kumzunguka ama kumchunguza huku asijue kama anachunguzwa.
Ndoa ni proccess
Hebu angalieni uwezekano wa kuyaongea wewe na AhyanMashallah jina zuri, mwenyezimungu akujalie umpate umtakae
Sawa mkuuUmeongea jambo la msingi, lakini naamini katiba 10 hawawezi kosekana wenye kujielewa na kujitambua kama mwanamke... Hasa thamani yake kama mwanamke
Unataka kusemaje kwanza.....?How old is your marriage kwanza?? Maana mimi sometimes kuzozana siwezi
Kama umeshindwa kujibu instead unaanza kuuliza swali basi sawaUnataka kusemaje kwanza.....?
Kama umeshindwa kujibu instead unaanza kuuliza swali basi sawa