Njoo tujenge maisha

Njoo tujenge maisha

Daniel Adrian

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2019
Posts
311
Reaction score
326
1. Kama wewe ni mwanamke.

2. Umri wako ni miaka 18 - 26

3. Una shughuli yoyote halali ya kukuingizia kipato.

4. Una elimu angalau ya kidato cha nne.

5. Unaishi Dar es salaam

Basi njoo PM tuzungumze ili tuone hatua tunazoweza kufuata ili tujihalalishe tuanze kujenga maisha. Binafsi sihitaji maisha ya uhuni (hayana maana yoyote) na nimechoka kuishi mwenyewe (nimeishi mwenyewe kwa takribani miaka 3 sasa) kwahiyo nataka mtu nijenge nae maisha mimi na yeye.

Ikiwa utapenda tupime afya kwanza, mimi niko tayari na ikiwa utapenda tusikutane kimwili mpaka tuhalalishe mahusiano yetu, mi niko tayari kwa hilo.

Mimi sifa zangu:-
1. Umri wangu ni 26
2. Nina elimu ya chuo ila kazi nnayoifanya haiendani na elimu yangu.
3. Naishi Kimara, Dar es salaam.

Mengine utaniuliza PM.

Tafadhali usije PM kama una mtoto.
 
Shida ni nini? Naona humu wengi wanaotafuta ni wanaume wakitafuta wanawake na tunaambiwa wanawake ni wengi kuliko sisi
 
1. Kama wewe ni mwanamke.

2. Umri wako ni miaka 18 - 26

3. Una shughuli yoyote halali ya kukuingizia kipato.

4. Una elimu angalau ya kidato cha nne.

5. Unaishi Dar es salaam

Basi njoo PM tuzungumze ili tuone hatua tunazoweza kufuata ili tujihalalishe tuanze kujenga maisha. Binafsi sihitaji maisha ya uhuni (hayana maana yoyote) na nimechoka kuishi mwenyewe (nimeishi mwenyewe kwa takribani miaka 3 sasa) kwahiyo nataka mtu nijenge nae maisha mimi na yeye.

Ikiwa utapenda tupime afya kwanza, mimi niko tayari na ikiwa utapenda tusikutane kimwili mpaka tuhalalishe mahusiano yetu, mi niko tayari kwa hilo.

Mimi sifa zangu:-
1. Umri wangu ni 26
2. Nina elimu ya chuo ila kazi nnayoifanya haiendani na elimu yangu.
3. Naishi Kimara, Dar es salaam.

Mengine utaniuliza PM.

Tafadhali usije PM kama una mtoto.
Yaani hujaona kabisa mwanamke/msichana mtaani kwako, au kwenye matukio mbalimbali ya kidini au kijamii hadi uje utafute humu!
 
Mungu akupe mke wa kukufaa. Hakuna kitu kigumu kama kumpata mwenza na ni kazi sana kujuana na kuelewana. Mfano kwangu kuanza mahusiano ni pagumu mno mpaka umjue mwanamke na akujue naona kazi kweli kweli. Maana kuna tofauti kati ya mwanamke ambaye unataka awe mama wa familia na demi wa kujipigia tu. .
 
Back
Top Bottom