Daniel Adrian
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 311
- 326
1. Kama wewe ni mwanamke.
2. Umri wako ni miaka 18 - 26
3. Una shughuli yoyote halali ya kukuingizia kipato.
4. Una elimu angalau ya kidato cha nne.
5. Unaishi Dar es salaam
Basi njoo PM tuzungumze ili tuone hatua tunazoweza kufuata ili tujihalalishe tuanze kujenga maisha. Binafsi sihitaji maisha ya uhuni (hayana maana yoyote) na nimechoka kuishi mwenyewe (nimeishi mwenyewe kwa takribani miaka 3 sasa) kwahiyo nataka mtu nijenge nae maisha mimi na yeye.
Ikiwa utapenda tupime afya kwanza, mimi niko tayari na ikiwa utapenda tusikutane kimwili mpaka tuhalalishe mahusiano yetu, mi niko tayari kwa hilo.
Mimi sifa zangu:-
1. Umri wangu ni 26
2. Nina elimu ya chuo ila kazi nnayoifanya haiendani na elimu yangu.
3. Naishi Kimara, Dar es salaam.
Mengine utaniuliza PM.
Tafadhali usije PM kama una mtoto.