Nani anajua maana ya "Seleka"NA WA CHELENJi HII NANI AIJUAE?
"Panja"
"mlami"
"Ng'ang'wa"
"bogi"
Aisaee wee hatariii... Shukran Mkuu Jogi!!Panja ni mwizi
Mlami ni mtemi mkorofi
.
.
.
Mambo degelii, Of course, unatafuta becauseValuvalu,
Ngwala
Nakitoa
Mambo waa
Hiyo kwa mateja na wavuta bangi..hizo ni code zaoNA WA CHELENJi HII NANI AIJUAE?
"Panja"
"mlami"
"Ng'ang'wa"
"bogi"
Kula kobisi
moto2012
Chekibobu